Jeremiah 22:11

11 aKwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Shalumu
Shalumu ndiye pia anaitwa Yehoahazi.
mwana wa Yosia, aliyeingia mahali pa baba yake kuwa mfalme wa Yuda, lakini ameondoka mahali hapa: “Yeye kamwe hatarudi tena.
Copyright information for SwhNEN